HABARI PICHA MWENGE WA UHURU WILAYANI HAI

Mkuu wa Wilaya ya Siha Onesmo Buswelu (aliye shika Mwenge wa uhuru) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Hai Gelasius Byakanwa.
Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu AMOUR HAMAD AMOUR 2017.Akipanda Mti katika Bwawa Boloti .
Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu AMOUR HAMAD AMOUR 2017,akihutubia wananchi wa Wilaya ya Hai katika uwanja wa CCM,

Mkuu wa Wilaya ya Manispaa ya Moshi Kipi Warioba (aliye shika Mwenge wa Uhuru) akipokea mwenge huo toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Gelasius Byakanwa (kulia) wkati mwenge huo ulipo maliza kutembelea miradi ya maendeleo wilayani Hia


Mwenge wa Uhuru Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro umezindua miradi sita na kuweka jiwe la msingi yenye thamani ya kiasi cha shilingi  Bilioni moja nukta mbili na Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu AMOUR HAMAD AMOUR 2017.

Katika mchangunuo wa fedha hizo ni milioni 24,300,000 toka Halmashauri,milioni 573,300,000 toka serikali kuu,milioni 68,000,000 toka kwa wananchi na wahisani milioni 517,604,500.Jumla kuu ikiwa ni  Bilioni 1,183,204,500