PICHA:MKUU WA WILAYA YA HAI AKABIDHI MABATI 64 KWA SHULE YA MSINGI HAI.

Mkuu wa Wilaya ya Hai Gelasius Byakanwa akikabidhi mabati 64 kwa shule ya Msingi Hai,katika jitihada zake za kuhakikisha kuwa shule za msingi zina boreshwa vizuri.
Mkuu wa Wilaya ya Hai Gelasius Byakanwa (kushoto) akikabidhi mabati 64  Mwenyekiti wa kamati  ya ujezi  Fabiola Silayo wa shule ya Msingi Hai,katika jitihada zake za kuhakikisha kuwa shule za msingi zina boreshwa vizuri .