Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Helga C.Mchomvu akipanda ua katika Halmashauri hiyo,pia aliweza kuotesha miti ya kivuli. |
Kwa sasa Tanzania na Dunia nzima wanaangalia njia ya utunzaji bora wa mazingira,kutokana na kukithiri kwa uharibifu wa mazingira.
zipo njia nyingi za kutunza mazingira ikiwemo kupanda miti,kuhifadhi ardhi,vyanzo vya maji n.k
Leo HaikaziBlog ina kuwekea hapa picha tatu muhimu zikimuonesha Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Hai Helga Mchomvu akipanda miti na maua katika halmashauri anayo iongoza.
Haikaziblog inapenda kumpongeza kwa jitihada hizo,kwani tunaiyona Halmashauri hiyo ikipendeza kwa miti na maua siku za usoni............