PICHA 3 :MACHAME GIRLS WALIVYO BAHATIKA KUMUAGA DC,BYAKANWA

Muda mfupi kabla ya jina lake kutajwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,aliye kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Gelasius Byakanwa alikuwa katika shule ya wasichana machame,akizindua mradi wa eschools toka Tigo.

Mradi huo unalenga kusoma kwa njia ya mtandao kupitia Tehama masomo yote
"Msitegemee kusimamiwa kwa kila kitu,ifike mahali mji simamie nyie wenyewe kwani mtafikia siku na nyie mtategemewa na jamii"alihasa Byakanwa.
Aliye kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Gelasius Byakanwa muda mfupi kabla ya Jina lake  kutajwa kuwa  Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,akiagana na Wanafunzi wa Shule ya Wasichana Machame,baada ya kuzindua mradi wa eschools ulio letwa na kampuni ya simu ya Tigo