Home »
HABARI
»
PICHA 4: Watoto walionusurika kwenye ajali ya basi la shule walivyowasili leo.
PICHA 4: Watoto walionusurika kwenye ajali ya basi la shule walivyowasili leo.
Wanafunzi watatu ambao walinusurika katika ajali ya basi la Wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent wamerejea Tanzania kutoka kwenye matibabu Marekani na kupokelewa na Watanzania wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro ‘KIA’.