USIPITWE NA PICHA TATU ZA DED HAI KATIKA MAHAFALI YA SHULE YA KAO LA AMANI


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Yohana Sintoo akizungumza wakati wa mahafali katika shule ya Msingi Kao la Amani.

Baadhi ya wahitimu wa darasa la Saba katika shule ya Msingi Kao la Amani wakisherehekea mahafali yao kwa shairi.