Mkuu wa wilaya ya Hai Gelasius Byakanwa akipokea mchango wa matofali kutoka kwa mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi wilayani Hai.