Mkuu wa Wilaya ya Manispaa ya Moshi Kipi Warioba (aliye shika Mwenge wa Uhuru) akipokea mwenge huo toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Gelasius Byakanwa (kulia) wkati mwenge huo ulipo maliza kutembelea miradi ya maendeleo wilayani Hia
Mwenge wa Uhuru Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro umezindua
miradi sita na kuweka jiwe la msingi yenye thamani ya kiasi cha shilingi Bilioni moja nukta mbili na Mkimbiza Mwenge
wa Uhuru Kitaifa Ndugu AMOUR HAMAD AMOUR 2017.
Katika mchangunuo wa fedha hizo ni milioni 24,300,000 toka Halmashauri,milioni 573,300,000 toka serikali kuu,milioni 68,000,000 toka kwa wananchi na wahisani milioni 517,604,500.Jumla kuu ikiwa ni Bilioni
1,183,204,500
|