Rais Magufuli Amwapisha Jaji Mkuu wa Tanzania September 11, 2017 HABARI RAIS Dkt. John Magufuli amemwapisha Prof. Ibrahim Juma kuwa Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akichukua nafasi ya Jaji Mkuu Mstaafu, Othman Chande. Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+
RAIS Dkt. John Magufuli amemwapisha Prof. Ibrahim Juma kuwa Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akichukua nafasi ya Jaji Mkuu Mstaafu, Othman Chande.