HABARI PICHA:KIKAO CHA BARAZA LA MADIWA WA HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI WAKIJADILI MAENDELEO.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai wa kwanza (kushoto)Mwenyekiti wa Halmashauri Helga Mchomvu(katikati) na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Goodluck Kimaro wakiwa katika baraza la Madiwani.

Madiwani wa baraza la Halmashauri ya wilaya ya Hai wakifuatilia baraza hilo kwa makini.

Wakuu wa idara na wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai wakisikiliza na kujibu maswali toka kwa Madiwani.

Madiwani wa baraza la Halmashauri ya wilaya ya Hai wakifuatilia baraza hilo kwa makini.