HABARI PICHA:MKUU WA WILAYA YA HAI AANZA KUTIMIZA AHADI ALIYO TOA YA KUJENGA UWANJA WA MICHEZO WAKATI WA UGENI WAKE

Mkuu wa Wilaya ya Hai Gelasius Gasper Byakanwa akionesha wadau wa michezo namna  ya ujenzi wa uwanja huo wa mpira  utakavyo kuwa.
Msemaji wa timua ya Panone Fc Omary Mlekwa akizungumza na vyombo vya habari juu ya furaha waliyo nayo ya uwanja huo kutengenezwa.
Shughuli ya ujenzi wa uwanja huo zikiendelea ili kufanya ujenzi huo kukamilika kwa wakati ulio kusudiwa.

Shughuli ya ujenzi wa uwanja huo zikiendelea ili kufanya ujenzi huo kukamilika kwa wakati ulio kusudiwa.

Picha ikionesha uwanja huo ulivyo kabla ya kuanza kwa matengenezo hayo.