MOJA YA PICHA BORA LEO, KOTEI AKIPAMBANA NA EDO, HII NI HATARI ASEE April 03, 2017 MICHEZO Moja ya picha bora za leo ni hii, kiungo James Kotei wa Simba akipambana na Christopher Edward wa Kagera Sugar. Mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara ilipigwa jana kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba na Simba ikalala kwa mabao 2-1. Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+ Related PostsDC HAI: ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WATUMISHI WAKE,ATOA MANENO MAZITO!!!MOJA YA PICHA BORA LEO, KOTEI AKIPAMBANA NA EDO, HII NI HATARI ASEEJana mitandao ilisema Adebayor anakuja Yanga, isome hii ya BBC SPORTS kwa makiniTUNA WAHESHIMU.......HABARI PICHA:MKUU WA WILAYA YA HAI AANZA KUTIMIZA AHADI ALIYO TOA YA KUJENGA UWANJA WA MICHEZO WAKATI WA UGENI WAKE